Home video TAZAMA NAMNA WANAJESHI WA MPAKANI WANAVYOWAVUTIA KASI AL AHLY TRIPOL

TAZAMA NAMNA WANAJESHI WA MPAKANI WANAVYOWAVUTIA KASI AL AHLY TRIPOL


BIASHARA united wanajiita Wanajeshi wa Mpakani wana kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Al Ahly Tripol ya Libya unaotarajiwa kuchezwa kesho, Oktoba 15 Uwanja wa Mkapa.


 Wachezaji hao wameendelea kuwavutia kasi wapinzani wao kwa kufanya mazoezi Uwanja wa Mkapa.Miongoni mwa nyota hao ni pamoja na Duchu,Redondo,James Ssetuba ambao wapo Dar kwa ajili ya maandalizi ya mchezo huo.

 

SOMA NA HII  VIDEO: TAZAMA UWANJA MPYA WA YANGA