Home video UWANJA WA YANGA KILE KIFUSI CHASAMBARATISHWA, HALI IPO HIVI KWA SASA

UWANJA WA YANGA KILE KIFUSI CHASAMBARATISHWA, HALI IPO HIVI KWA SASA


KILE Kifusi ambacho kilikuwa katika Uwanja wa Kaunda ambao ni mali ya Yanga maeneo ya Jangwani sasa kimetawanywa ikiwa ni hatua ya maboresho ya Uwanja wa Kaunda kwa ajili ya matumizi ya Yanga.


 Hali yake kwa sasa ipo namna hii

 

SOMA NA HII  VIDEO: COASTAL UNION YATAJA SABABU YA KUFUNGWA NA SIMBA