kimataifa

BREAKING: OLE GUNNER AFURUSHWA MAN UNITED….ZIDANE KURITHI NAFASI YAKE…

admin November 21, 2021 12:27 pm

 


HATIMAYE Klabu ya  Manchester United imefikia makubaliano ya kuachana na kocha wake Ole Gunner Solskjaer, hatua hiyo inafuatia matokeo mabaya mfululizo ikiwemo kipigo cha 4-1 kutoka kwa Watford Jumamosi ya Novemba 20.

 Baada ya saa 5 za mazungumzo hatimaye pande zote zimekubaliana kuvunja mkataba huo, timu kwa sasa itakuwa chini ya viungo wa zamani wa klabu hiyo Michael Carrick na Fletcher.

Mpaka sasa Zinedine Zidane ndiye chaguo namba moja  kuwa mbadala wa Ole Gunnar Solskjaer.

MKUTANO MKUU SIMBA: KASSIM DEWJI APEWA MIKOBA YA HANS POPE…’TRY AGAIN’ KAMA KAWA AFANYA YAKE… RASMI CHAMA KURUDI SIMBA…..SWALA LAKE LAPITISHWA KWENYE MKUTANO MKUU WA SIMBA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply