News

MKUTANO MKUU SIMBA: KASSIM DEWJI APEWA MIKOBA YA HANS POPE…’TRY AGAIN’ KAMA KAWA AFANYA YAKE…

admin November 21, 2021 9:01 am


Bodi ya Klabu ya Simba, imemteua NdugU Kassim Dewji kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya usajili ya klabu hiyo akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Marehem Zacharia Hans Pope.

Kassim ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa Klabu hiyo miaka ya hivi karibuni, ameteuliwa huku akiaminika ni miongoni mwa watu mashuhuri kwenye usajili .

Akimtangaza hivi leo kwenye Mkutano Mkuu, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Ndg Salim Muhene ‘Try Again’ amesema kuwa Bodi ya Simba inaimani kubwa Kassim Dewji huku akiweka wazi kuwa Klabu itampa ushirikiano wa kutosha kufanya usajili mzuri.

BREAKING NEWS: MO DEWJI APEWA URAIS SIMBA…WANACHAMA FULL KICHEKO..TRY AGAIN ASANUKA… BREAKING: OLE GUNNER AFURUSHWA MAN UNITED….ZIDANE KURITHI NAFASI YAKE…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply