Home news SHUHUDIA SOKA LA BONGO KWENYE WIGO HUU WA KIOO CHA Infinix NOTE...

SHUHUDIA SOKA LA BONGO KWENYE WIGO HUU WA KIOO CHA Infinix NOTE 11.


Wadau wa soka hii ni kama nzuri kwetu speed na kioo kinachonyesha matukio kwa rangi halisi lakini pia hakinyonyi chaji kwa wingi ndio simu tunapenda. Katika pita pita zangu mitandaoni nimeinyaka hii, kampuni ya simu Infinix kuzindua simu aina ya Infinix NOTE 11 na NOTE 11 pro na hizi ndio sifa kuu 

•Kioo aina ya AMOLED cha inch 6.7 fhd+ na Helio G96 processor.

Faida kubwa ya kioo cha AMOLED kwanza hakina matumizi makubwa ya chaji ni sawa na kusema kampa kampa tena mana tayari tunafahamu simu pekee zinazodumu na chaji ni kutoka Infinix tu lakini bado haitoshi Infinix inadondoka na NOTE 11 ikiwa na kioo aina ya AMOLED ni wazi kusema NOTE 11 kuja kukupa nafasi yakufanya mambo mengi kama kucheck soka wakati wote pasipo kupotea kimawasiliano.

Sifa nyengine pendwa kwa wanasoka wenzangu ni hii speed inayokuja kwenye simu hii inasemekana ndio simu ya kwanza kuja na speed sambamba na za kompyuta zetu za kileo kama HP na nyengine zinazokubalika na wakali wa tech. Mediatek Helio G96 processor pia inasimama kama processor yenye yenye uwezo mkubwa na inaruhusu kucheza game yoyote ya ukubwa wowote pasipo kupata pigo la simu kuzima hafla.

Kaa tayari kupokea Infinix NOTE 11 na NOTE 11 pro baada ya uzinduzi tarehe Novemba 11.

SOMA NA HII  KUHUSU ISHU YA MDHAMINI MPYA NA SPORTPESA....YANGA WAIBUKA NA MAJIBU HAYA YA KIBABE...