Home news RASMI…YANGA WAMPA ‘TALAKA’ RAMADHANI KABWILI…UONGOZI WAFUNGUKA SABABU HIZI

RASMI…YANGA WAMPA ‘TALAKA’ RAMADHANI KABWILI…UONGOZI WAFUNGUKA SABABU HIZI


Golikipa namba mbili wa Yanga, Ramadhani Kabwili ameachwa rasmi na klabu ya Yanga.

Taarifa za ndani zinaeleza kuwa juzi Desemba 19, 2021, Kabwili alipewa barua ya kwaheri na Yanga na kumtakia kila la kheri hivyo sasa yupo huru kujiunga na timu nyingine yoyote.

Uongozi wa klabu ya Yanga unatekeleza ripoti ya kocha Nabi ambaye ameutaka uongozi kusajili wachezaji 5 wa nguvu na sasa wameanza mpango wa kumsajili Mohamed Makaka wa Ruvu Shooting kuchukua nafasi ya Kabwili.

SOMA NA HII  RASMI..UONGOZI AZAM FC WATAO TAMKO SAKATA LA KINA 'SURE BOY' ...WAKUBALI KUACHANA NAO BUREE....

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here