News

DILI LA NKANE KUTUA YANGA LAFIKIA PATAMU….MWENYEWE AFUNGUKA SHOW ILIVYOKAA…

admin January 1, 2022 10:33 am

 


ALIYEKUWA mchezaji wa Biashara United ya Mara nafasi ya kiungo mshambuliaji, Denis Nkane (18) ameaga rasmi ndani ya klabu hiyo kwa ajili ya kuelekea Yanga ambako ataanza kuwatumikia Wananchi hao wa Jangwani.

“Napenda nichukue nafasi hii kuushukuru uongozi wa klabu ya Biashara United kwa kuwa hawa ndio wamenitambulisha mimi kwenye ligi na soka. Pia napenda nichue nafasi hii kuwashukuru wachezaji wenzangu kwa muda wote niliokuwa nao, kwasasa ni muda wangu wa kwenda kutafuta changamoto nyingine,” amesema Nkane.

Denis Nkane Profile

First Name : Denis

Last Name : Nkane

Place of Birth : Tanzania

Date of Birth : 30 September 2003

Nationality : Tanzanian

Team: Yanga Sc

League : NBC Tanzania Premier League 2021/2022

Position : Wing (Left and Right)

Caf Confederation Cup 2021/2022

MSHERY AANZA NA KISMATI YANGA…AKAMUA DAKIKA 90 HUKU AKISOMA GAZETI GOLINI… BAADA YA KUTEMANA NA SIMBA…HITIMANA AANIKA SIRI ZA MKUDE..AFICHUA ALIVYOMFUNDA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply