Ligi Kuu

YANGA WATAKATA MKWAKWANI….NTIBAZOKIZA AMWAGA ‘UPUPU’ DAKIKA ZA JIONI…

admin January 16, 2022 3:35 pm

 


YANGA imesepa na pointi zote tatu mazima mbele ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

Ni mabao ya Fiston Mayele dakika ya 40 na lile la pili ni Said Ntibanzokiza ambaye alipachika bao hilo dakika ya 89.

Nyota wa Coastal Union waliweza kwenda mapumziko wakiwa wameokota bao moja nyavuni na waliporudi tena kipindi cha pili wakiokota bao moja.

Ushindi huo unaifanya Yanga kuzidi kujikita nafasi ya kwanza kwenye msimamo baada ya kucheza mechi 12 na pointi zao ni 32.

CHAMA AFANYIWA KUFURU SIMBA…USAJILI WAKE WAIKAMUA SIMBA ML 827..HUO MSHAHARA SASA…. ILE SAPRIAZI YA YANGA KUMBE NI HII HAPA MASHINE MPYA YA KAZI…MWENDO ‘MPERA MPERA’ TU…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply