news

KUHUSU TAARIFA ZA UWEPO WA KESI POLISI…TFF YAMRUKA MAZIMA BARBARA…WAMKANA MCHANA KWEUPEEE…

admin January 24, 2022 3:08 pm


Shirikisho la soka nchini TFF limekanusha taarifa zilizosambaa kwenye mitandaio ya kijamii, ikidaiwa Shirikisho hilo limemfungulia mashtaka Afisa Mtendaji Mkuu wa Klabu Bingwa Tanzania Bara Simba SC Barbara Gonzales.

TFF imetoa taarifa maalum iliyosisitiza haihusiki na mpango wa kumfungulia mashtaka kiongozi huyo, huku ikiwasihi wadau wa soka na wananchi wengine kuacha mara moja kusambaza uvumi huo.

Mapema leo Jumatatu (Januari 24) kumeibuka taarifa zilizokuwa zikidai Shirikisho hilo limemfungulia Mashtaka Barbara Gonzalez kwa kitendo cha kutoa lugha Chafu wakati wa mchezo wa Simba na Young Africans Disemba 11 mwaka jana, baada ya kuzuiliwa kuingia Uwanja wa Benjamin Mkapa eneo la VVIP na watoto ambao kiutaratibu hawakuruhusiwa.


Taarifa sahihi ni Afisa wa TFF aliyefhamaika kama Jacqueline Kamwamu, ndie aliekwenda kufungua shauri hilo kituo cha Polisi.

BAADA YA KUUONA UCHEZAJI WA USHINDI…NABI AGUNA KISHA AFUNGUKA HAYA…ATAJA PRESHA … WAKATI SIMBA WAKIZIDI KUPOTEANA…..TYR AGAIN ‘CHAP HARAKA’ ATOA TAMKO LA KIBABE…ADAI WAMEJIPANGA..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply