News

HIZI HAPA SABABU ZA NYUMA YA PAZIA KUHUSU PABLO KUSIMAMISHWA NA TFF…APIGWA FAINI YA MAMILIONI YA PESA…

admin January 29, 2022 8:00 am


BODI ya Ligi ya Soka Tanzania Bara imempiga faini ya Tsh milioni 3.5, Kocha Mkuu wa Simba SC, Pablo Martin Franco kutokana na makosa mbalimbali ya utovu wa nidhamu likiwemo la kupiga teke kiti kwenye mechi kati ya Timu hiyo na Mtibwa Sugar ya mkoani Morogoro.

Kocha Pablo apewa adhabu kali Ligi Kuu

1. Ametozwa faini ya Tsh 500,000 na kufungiwa mechi tatu kwa kosa la kupiga teke chombo cha kuhifadhia barafu na vinywaji (Mechi ya Simba vs Mtibwa Sugar).

3. Faini ya Thh. 1,000,000 kugomea mahojiano mechi dhidi ya Mtibwa.

2. Faini ya Tsh. 1,000,000 kugomea mahojiano mechi dhidi ya Mbeya City.

4. Faini ya Tsh. 1,000,000 kugomea mahojiano mechi dhidi ya Kagera Sugar.

Kamati pia imempa adhabu mlinzi wa kulia wa Yanga Sc Djuma Shabani ikimfungia mechi tatu pamoja na faini ya Milioni moja kwa kosa la kumpiga kiwiko mchezaji wa Polisi Tanzania, Yahya Mbegu.

PAMOJA NA KUDAKA MECHI ZOTE KWA KIWANGO KIKUBWA…HAULE AIBUKA NA HILI KUHUSU MSHERY…AMTAJA DIARRA… HAYA HAPA MAMBO MAKUBWA MANNE YALIYOTOKEA BAADA YA SIMBA KUFUNGWA NA KAGERA JUZI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply