Home news PAMOJA NA KUONDOKA..WAMOROCCO WAANIKA A-Z KILICHOMUONDOA CHAMA KWAO..WATOA KAULI HII…

PAMOJA NA KUONDOKA..WAMOROCCO WAANIKA A-Z KILICHOMUONDOA CHAMA KWAO..WATOA KAULI HII…


Klabu ya Berkane ya nchini Morocco imethibitisha kuondoka kwa mchezaji Clatous Chama ambaye alisaini mkataba wa miaka mitatu kuitumikia timu hiyo.

Berkane imesema Chama raia wa Zambia aliomba kuondoka kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo familia, kushindwa kuendana na hali na maisha ya Morocco.

Chama ametambulishwa jana na klabu ya  Simba ambayo aliitumikia kwa mafanikio makubwa ikiwemom kubeba mataji ya Ligi Kuu.

Berkane inayonolewa na kocha Florent Ibenge  imemtakia heri na mafanikio Chama katika klabu yake ya Simba ambayo alitokea kwenda Morocco

SOMA NA HII  GAMONDI AKOMAA NA MRITHI WA MAYELE, HAPO KAMBINI HAPAKALIKI