Home Uncategorized RATIBA YA SUPER U 20 ITAKAYOANZA KUFANYIKA KESHO HII HAPA

RATIBA YA SUPER U 20 ITAKAYOANZA KUFANYIKA KESHO HII HAPA

 


KESHO, Oktoba 24, kwenye uwanja wa Azam Complex Chamazi yataanza mashindano ya vijana chini ya miaka 20 kutoka vilabu 8.


Mashindano hayo yatashirikisha timu 4 za ligi kuu


Azam FC

Yanga

KMC

JKT TZ


Na zingine za akademi za mitaani


Kepten

Mgosi

Twalipo


Mashindano haya yameandaliwa na taasisi ya Same Sports Youth Investment na yalikuwa yafanyike Uwanja wa Chuo cha Bandari lakini kutokana na lengo lake kuu ambalo ni kuziandaa timu husika kuelekea ligi ya vijana itakayoanza Novemba, yakahamishiwa Chamazi.

SOMA NA HII  KUMBE FIRMINO ALITABIRIWA MAKUBWA TANGU MDOGO, WAZAZI WAKE WALIMZUIA KUCHEZA SOKA WAKIHOFIA ANGEKUJA KUWA KIBAKA