Home Habari za michezo USAJILI WOTE ULIOKAMALIKA BONGO HUU HAPA….ISHU YA BALEKE NA PHIRI BADO NGUMU…

USAJILI WOTE ULIOKAMALIKA BONGO HUU HAPA….ISHU YA BALEKE NA PHIRI BADO NGUMU…

Ligi Kuu Tanzania 2023/24

Dirisha dogo la usajili wa wachezaji kwa upande wa Tanzania, lilifungwa usiku wa kumakia leo , ambapo baadhi ya klabu kubwa kwa ndogo zimeweza kufanya usajili kulingana na mahitaji yao.

Ifuatayo ni orodha ya baadhi ya usajili uliokamilika mpaka kufikia jana usiku, ambapo mastaa wa Simba Jean Baleke na Moses Phiri wao wanamalizana na klabu yao ili kuweza kupata nafasi ya kuangalia maisha nnje ya Tanzania.

Inaelezwa kuwa Baleke anaweza akajiunga na moja ya klabu ya Afrika kusini, huku Moses Phiri atapelekwa kwa mkopo kwenye klabu yake ya zamani nchini Zambia.

Orodha ya mastaa wote hii hapa.

 • Jimmyson Mwanuke —Simba kwenda Mtibwa Sugar
  •Erick Mwijage—West Armenia kwenda Geita Gold
  •Erick Johora—Geita Gold kwenda Mashujaa
  •Mapinduzi Balama—Coastal Union kwenda Mashujaa
  •Shaban Chilunda—Simba kwenda KMC
  •Meddie Kagere—Singida Fountain Gate kwenda Namungo FC
  •Shiza Kichuya—Namungo kwenda JKT Tanzania
  •Reliants Lusajo—Namungo kwenda Mashujaa FC
  •Boubacar Sarr—Huru kwenda Simba
  •Omar Jobe—Zhenis kwenda Simba
  •Manu Lobota- FC Lupopo kwenda Ihefu Abubakar Khomeiny—Singida Fountain Gate kwenda Ihefu
  •Augustine Okrah—Bechem kwenda Yanga
  •Shekhan Ibrahim—JKU kwenda Yanga
  •Salehe Karabaka—KVZ kwenda Simba
  •Ladack Chasambi—Mtibwa kwenda Simba
  •Abdallah Lanso—Mlandege Kwenda Kmc
  •Emmanuel Mtumbuka—Stand United kwenda Mashujaa
  •Nasoro Kapama—Simba kwenda Mtibwa Sugar
  •Franklin Navaro—Tulua kwenda Azam
  •Yeison Fuentes—Itagui kwenda Azam
  •David Ulomi—Moloka Swallows kwenda Mashujaa Akram Mhina -Kvz kwenda Kmc
  •Mohamed Mustapha—El merikh kwenda Azam
  •Jacob Benedict—Mbeya Kwanza/Prisons
  •Feisal Mkoko—(huru)/Prisons
  Abdulkarim Segeja—Copco/Prisons
  •Tariq Simba (Geita/Prisons)
  •Ally Msengi (Stelenbosch/Prisons)
  •Shabani Msala—Ihefu➡️Mtibwa
 • •Charles llanfya—Ihefu➡️Mtibwa
  •Ayoub Semtawa—huru➡️Namungo.
  • Joseph—(huru) ➡️ Yanga
SOMA NA HII  DABI YAMUACHA KANOUTE NA MAJANGA...'KAZI CHAFU' YA AUCHO YAMUACHA NA KILIO KISICHOISHA...