Home Michezo ZAHERA HUYU HAPA AMETUA NAMUNGO

ZAHERA HUYU HAPA AMETUA NAMUNGO

Klabu ya Namungo imemtambulisha Mwinyi Zahera kuwa kocha mkuu wa timu hiyo.

Namungo kutokea mkoani Lindi ilikuwa inanolewa na kocha Denis Kitambi ambaye ametimkia Geita Gold FC.

Namungo ipo nafasi ya 8 kwenye msimamo wa Ligi Kuu tayari imecheza mechi 14 ikishinda mechi 4, kufungwa 5 na droo 5 na ina pointi 17.

SOMA NA HII  PICHA ZIMA LA JKT TANZANIA V YANGA LILIKUWA NAMNA HII