news

KUELEKEA MECHI DHIDI YA SIMBA…TANZANIA PRISOSN WAKUMBUSHA YA KAGERA NA MBEYA CITY….

admin February 2, 2022 4:13 pm


KOCHA Msaidizi wa Tanzania Prisons, Shaban Kazumba, amebainisha kuwa kwa sasa wamewekeza nguvu na umakini kwenye mchezo unaofuata dhidi ya Simba ili kuhakikisha wanapata ushindi na kujitoa kwenye nafasi ya mwisho ya msimamo wa Ligi Kuu Bara.

Mchezo huo wa ligi unatarajiwa kupigwa Februari 3, mwaka huu ambapo Prisons watakua wageni wa Simba kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Akizungumza na gazeti la  Spoti Xtra, Kazumba alisema: “Baada ya kupata ushindi kwenye mchezo wetu wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Rhino Rangers, wachezaji wamefanikiwa kurudisha morali yao kwa sababu tulikuwa na mwenendo usioridhisha kwenye michezo iliyopita ya ligi.

“Simba ni timu nzuri, tunawaheshimu lakini na sisi pia tuna kikosi bora, tutahakikisha tunawapa ushidani, matokeo yatajiweka wazi ndani ya dakika 90.”

PAMOJA NA USHINDI WA JUZI WA GOLI 6-0…, PABLO ATIKISA KICHWA..KISHA AITA KIKAO FASTA NA WACHEZAJI… KUELEKEA MECHI YA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA…SIMBA WAPEWA KIBALI MAALUMU NA CAF..UONGOZI WAANIKA HAYA..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply