news

KUHUSU ISHU YA MGOGORO KATI YA PABLO NA WENZAKE…SIMBA WATOA TAMKO..ISHU NZIMA IKO HIVI…

admin February 2, 2022 5:00 am


MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu, amesema licha ya timu yao kukosa matokeo mazuri katika michezo mitatu iliyopita ya Ligi Kuu Bara, lakini bado wapo imara na hakuna mgogoro wowote unaoendelea klabuni hapo, kila kitu ni shwari.

Kwenye mechi hizo tatu, Simba imepoteza mbili dhidi ya Mbeya City na Kagera Sugar, huku ikitoka suluhu na Mtibwa Sugar. Juzi Jumapili ilishinda 6-0 dhidi ya Dar City kwenye Kombe la Shirikisho la Azam Sports hatua ya 32 bora.

Akizungumza na Spoti Xtra, Mangungu alisema: “Hakuna mgogoro wowote baina ya benchi la ufundi na wachezaji wala bodi, naweza kukiri hayo yanayosemwa ni propaganda za watu wa mataani tu.

KISA HERSI KUPEWA JEZI UWANJANI..SIMBA WAILIPUA TFF…WAHOJI UHALALI..WAGUSIA ISHU YA BILIONI 1… WAKATI AMANI IKIZIDI KUTAWALA KLABUNI…NABI AVUNJA UKIMYA YANGA…ADAI HAIWEZI KUWA RAHISI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply