UONGOZI wa Klabu ya Mtibwa Sugar, umeweka wazi kuwa, mchezo wao dhidi ya Yanga utafanyika Uwanja wa Manungu uliopo mkoani Morogoro na wala hawatauhamisha kwenda popote.
Februari 23, mwaka huu, Mtibwa watakuwa wenyeji wa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara.
Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru, alisema: โWatu wanazusha kuwa mechi sijui itafanyika Tabora, lakini nataka niwaambie kuwa mechi ipo palepale katika uwanja wetu wa Manungu.
โSisi tunaitaka Yanga ije hapa Manungu, tumejipanga vizuri kuwakabili. โKwa namna yoyote ile tutapata ushindi, huko nyuma tumepoteza mechi, lakini kwa Yanga tutapambana kushinda.โ
Do you mind if I quote a few of your posts as long as I provide credit and sources back to your site?
My website is in the exact same niche as yours and my
users would definitely benefit from some
of the information you present here. Please let me know if this ok with
you. Appreciate it!
Here is my homepage: Kochen
Sure, Welcome