news

BAADA YA KUWA NNJE KWA MUDA MREFU…MUGALU NA KIBU WALIANZISHA SIMBA…

admin March 4, 2022 9:52 am


NYOTA wawili wa Simba ambao ni Chris Mugalu na Kibu Dennis tayari wameanza mazoezi ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu Pablo Franco.

Washambuliaji hao wawili walikosekana katika mechi mbili za kimataifa ugenini ikiwa ni ile ya sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya USGN ya Niger pamoja na ule ambao Simba ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya RS Berkane.

Licha ya kuanza mazoezi kwa washambuliaji hao wawili kuna hatihati ya kuukosa mchezo wa leo dhidi ya Biashara United unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa.

Sababu kubwa ya nyota hao kuukosa mchezo wa leo dhidi ya Biashara United ni kutokuwa fiti kwa kuwa wamekuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu kutoka na kuuguza majeraha.

KUELEKEA MECHI DHIDI YA GEITA…FEI TOTO NA JOB WAMPA TABASAMU PANA NABI..ADAI KUONA UGUMU… LEO NDIO LEO..HII HAPA RATIBA YA LIGI KUU YA NBC …NDOTO ZA SIMBA KUWA HAI LEO..?

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

One response to “BAADA YA KUWA NNJE KWA MUDA MREFU…MUGALU NA KIBU WALIANZISHA SIMBA…”

  1. […] wa 2021/2022, Kibu alivaa uzi wa Mnyama kwa mara ya kwanza ikiwa ni miongoni mwa ndoto zake kubwa kucheza katika […]

Leave a Reply