Ligi Kuu

LEO NDIO LEO..HII HAPA RATIBA YA LIGI KUU YA NBC …NDOTO ZA SIMBA KUWA HAI LEO..?

admin March 4, 2022 10:18 am


NI mzunguko wa pili unaendelea na mechi mbili zinatarajiwa kuchezwa leo Machi 4,2022.

Kagera Sugar v Namungo FC, Uwanja wa Kaitaba hii itapigwa saa 10:00 jioni.

Simba SC v Biashara United, Uwanja wa Mkapa hii itapigwa saa 1:00.

Kagera Sugar imetoka kupoteza mchezo wake mbele ya Yanga kwa kufungwa mabao 3-0 Uwanja wa Mkapa hivyo wataingia wakiwa wametoka kujeruhiwa.

Simba wanakumbuka kwamba mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Karume waligawana pointi mojamoja kwa sare ya bila kufungana hivyo watakuwa na kazi ya kujiuliza kwa mara nyingine tena.

Kwenye msimamo Simba ambao ni mabingwa watetezi wapo nafasi ya pili na pointi zao ni 31 kibindoni.

BAADA YA KUWA NNJE KWA MUDA MREFU…MUGALU NA KIBU WALIANZISHA SIMBA… MANULA NA WACHEZAJI HAWA WENGINE KUUKOSA MCHEZO WA LEO…KOCHA BIASHARA ‘ACHEKELEA KOONI’….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply