news

SAKHO AZIDI KUIPAISHA SIMBA KIMATAIFA …GOLI LAKE LAPENYA KWA UBORA AFRIKA…

admin March 17, 2022 11:59 am


PAPE Sakho kiungo mshambuliaji wa Simba bao alilowatungua RS Berkane limechaguliwa kuwa bao bora la wiki katika mashindano ya Kombe la Shirikisho.

Pape alipachika bao hilo Uwanja wa Mkapa, Machi 13 wakati Simba ikivuna pointi tatu mazima.

Ilikuwa dakika ya 44 Sakho alifanya hivyo baada ya kupokea pasi kutoka kwa Meddie Kagere.

Kabla ya kufunga bao kiungo huyo alisepa na kijiji cha mabeki na walikuwa na hofu ya kumkata buti kwa kuwa alikuwa ndani ya 18.

Ikumbukwe kwamba hata bao lake la kwanza mbele ya ASEC Mimosas la mtindo wa Acrobatic nalo lilichaguliwa kuwa bao bora.

SIMBA KUWAFUATA WAIVORY COST KESHO KWA MKWARA MZITO…WACHEZAJI KUSEPA KIBABE.. HUU HAPA USAJILI BORA WA DIRISHA DOGO MPAKA SASA…WALIOBAMBA NA KUBAMBWA HAWA HAPA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply