Azam FC

RASMI..JAMES KOTEI KUKIPIGA CHAMAZI COMPLEX…ISHU NZIMA IKO HIVI AISEE….

admin March 28, 2022 3:00 pm

 


Timu ya Azam FC itakuwa na mechi ya kirafiki dhidi ya DTB Jumanne Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

Kwa Azam, mechi hiyo ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wao ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Yanga SC Aprili 6, mwaka huu hapo hapo Azam Complex.

Na kwa DTB ambayo James Kotei ‘Baba Paroko’ anaichezea wataitumia mechi hiyo kujipanga kwa michezo yake ijayo ya ligi ya kuwania kupanda Ligi Kuu, ijulikanayo kama Championship.

Ikumbukwe Yanga wao watakuwa na mechi ya kujipima pia Jumatano hapo hapo Chamazi dhidi ya Mafunzo ya Zanzibar.

WAKATI WAKIINGIA KAMBINI JANA…MATOLA AFUNGUKA NA KUANIKA UDHAIFU WA SIMBA…CAF KAMA KAWA… BAADA YA KUWA ‘NNJE’ KWA MUDA KIDOGO…MOLOKO ARUDI ZAKE YANGA KWA ‘MIZUKA’ YOTE…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply