Habar za Usajili Simba

ISHU YA KUWAONGEZEA MIKATABA KINA MANULA LATUPWA KANDO SIMBA..MKAKATI UKO HIVI..

admin March 31, 2022 7:31 am


MABOSI wa Simba wameweka wazi kuwa kwa sasa mawazo yao yote yapo katika kufanya vizuri kwenye michuano mbalimbali wanayoshiriki ikiwemo ligi kuu ambayo wanapambana na Yanga, hivyo suala la kuwaongezea mikataba mastaa wao wanaomaliza mikataba litapatiwa majibu mwishoni mwa msimu.

Baadhi ya nyota wa Simba ambao wanamaliza mikataba yao mwishoni mwa msimu huu ni Bernard Morrison, Taddeo Lwanga, Meddie Kagere, Chis Mugalu, Aishi Manula na Pascal Wawa.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally alisema: “Ni kweli kuna kundi kubwa la wachezaji wetu ambao wanatarajiwa kumaliza mikataba yao mwishoni mwa msimu huu, hatujaanza mazungumzo nao lakini niwatoe hofu Wanasimba kuwa tunajua nini tunapaswa kufanya juu ya hilo na tutahakikisha wachezaji wote tunaowahitaji kwa msimu ujao wanapewa mikataba mipya.

INJINI HERSI AFUNGUKA A-Z ISHU YA KUMSAJILI AZIZ KI YANGA…ADAI WATAFANYA KUFURU… RASMI…LIGI YA BONGO SASA KAMA MBELE TU…WACHEZAJI KULIPWA VIINUA MGONGO WAKISTAAFU…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply