Habari za michezo

KUELEKEA MECHI NA AZAM…..MANARA KAONA ISIWE TABU…LEO KAIBUKA NA HILI JIPYA…

admin March 31, 2022 3:00 pm


Msemaji wa klabu ya Yanga Haji Manara amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mechi zao zote za kwenye ligi ikiwa ni pamoja na mchezo wao dhidi ya Azam FC .

Akizungumza na waandishi wa habari Manara amesema kuwa wanatambua mchezo huo utakuwa mgumu lakini wanaamini kwamba watapata ushindi kwenye mchezo huo.

“Tunatambua kwamba mchezo wetu utakuwa mgumu lakini tupo tayari kwa ajili ya kusaka ushindi na tuna amini kwamba nawezekana mashabiki wazidi kuwa pamoja nasi,” amesema Haji Manara .

Yanga inaongoza ligi ikiwa na pointi 48 baada ya kucheza mechi 18 inatarajiwa kukutana na Azam FC Aprili 6, Uwanja wa Azam Complex.

KAZE – YANGA TUNAINGIA MIEZI MIWILI YA TABU…TUNA MECHI NGUMU… YANGA YA GSM WEKA MBALI NA WATOTO..KUANZIA MSIMU UJOA USAJILI WOTE KUFANYWA KIULAYA ULAYA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply