Habar za Usajili Simba

MORRISON:- TUNAJIAMINI…TUNAJIAMINI…MNOO…

admin March 31, 2022 7:04 am


BERNARD Morrison, kiungo wa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco amesema kuwa wanaamini kwamba watafuzu hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho.

Kichapo cha mabao 3-0 mbele ya ASEC Mimosas Machi 20,2022 kiliyeyusha matumaini ya Simba kutangulia katika hatua ya robo fainali hivyo wana kazi ya kufanya Uwanja wa Mkapa.

“Tunajiamini, tunajiamini na tufafuzu kwa kuwa tumepoteza mchezo hatujatolewa,mchezo wetu ujao ninaamini kwamba tutashinda kila mchezaji atakuwa imara na tutafuzu hatua inayofuata”.

Simba ikiwa na pointi 7 kundi D nafasi ya 3 ina mchezo mmoja mkononi dhidi ya USGN ya Niger yenye pointi 5 nafasi ya 4 unatarajiwa kuchezwa Aprili 3, Uwanja wa Mkapa.

Ili Simba iweze kufuzu hatua ya robo fainali inahitaji ushindi katika mchezo huo.

KISA SIMBA…YANGA YAGAWA MAMILIONI..REFA MTATA APEWA SIMBA..ONYANGO NA KANOUTE WAONYWA.. INJINI HERSI AFUNGUKA A-Z ISHU YA KUMSAJILI AZIZ KI YANGA…ADAI WATAFANYA KUFURU…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply