Habari za michezo

ALICHOSEMA NAPE KABLA YA SIMBA KUSHUKA DIMBANI SAA CHACHE ZIJAZO…

admin April 3, 2022 4:28 pm


NAPE Nnauye,Waziri wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari amesema kuwa ushindi wa leo kwa Simba ni muhimu kwa nchi.

Simba ina kibarua cha kusaka pointi tatu muhimu mbele ya USGN mchezo wa Kombe la Shirikisho ambao ni hatua ya makundi.

Nnauye anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mchezo wa leo unaotarajiwa kuchezwa saa 4:00 usiku.

Kiongozi huyo amesema:”Ushindi wa Simba leo ni muhimu kwa nchi yetu nina imani kwamba Simba watapata matokeo hivyo bila kujali ushabiki tujitokeze kuishangilia Simba.

“Niwatie moyo wawakilishi wetu kuhusu mchezo wa leo na Serikali imejipanga vizuri katika mambo ya usalama,tutakwenda salama na tutarudi salama,”.

Simba inasaka tiketi ya kufuzu hatua ya robo fainali na ili iweze kufikia hatua hiyo lazima ishinde mchezo wa leo dhidi ya USGN.

SAA CHACHE KABLA YA KUSHUKA  UWANJANI…PABLO AIBUKA NA JIPYA SIMBA..AFUNGUKA HALI ILIVYO… MAAJABU NDIO ZETU…SIMBA YAWEKA REKODI MPYA AFRIKA…MUGALU NI..TAMBWE AOMBA ULINZI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply