Habari za michezo

BAADA YA KUONA WATU WANAMPOTEZEA SIKU HIZI..MORRISON NAYE KAIBUKA NA HILI KUHUSU USGN..

admin April 3, 2022 3:59 pm


Ikiwa leo ndio siku ya hukumu kwa Kikosi cha Simba kujua kama aidha wanakwenda hatua ya Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika ama la.

Winga asieishiwa na vituko kunako kikosi hicho Mghana Bernard Morisson, kupitia mtandao wake wa Twitter, amepost akiwaomba Mashabiki wa Simba kujitokeza kwa wingi katika mchezo wao wa mwisho hatua ya Makundi dhidi ya US Gendarmerie utakaopigwa majira ya saa nne usiku katika Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Simba inahitaji ushindi nkatika mchezo wa leo ili kujihakikishia nafasi ya kusonga hatua inayofuata.

KOTEI AJICHAGULIA WA KUCHEZA NAYE YANGA…AWAPIGA CHINI AUCHO NA BANGALA… KAMA ULIKUWA HUJUI..HII HAPA SIRI YA SIMBA KUFANYA MAZOEZI USIKU MNENE UWANJA WA TAIFA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply