Azam FC

KOCHA MSOMALI WA AZAM AKUBALI YAISHE KWA YANGA…KAONA ISIWE TABU…KAAMUA AJE NA HILI…

admin April 6, 2022 7:11 am


KOCHA Mkuu wa Klabu ya Azam Abdi Hamid Moallin amesifia ubora wa kikosi cha Yanga na kujipanga kuandaa mbinu ili kuwakabili vijana hao wa Jangwani ambao wapo kwenye kiwango kizuri kwa sasa nchini.

Akiongea na waandishi wa habari Afisa Habari wa Klabu ya Azam Zaka Zakazi amesema:

“Baada ya kocha wetu kufahamu kuwa katika mchezo unaofuata tutacheza dhidi ya Yanga alipata nafasi pia ya kupitia takwimu zao kwa ujumla na ameniambia Yanga ndiyo timu bora zaidi katika Ligi yetu kwa sasa hivyo sisi tunaenda kupambana nao kama underdog.”

Klabu ya Yanga na Azam zinakutana kesho katika pambano la Ligi Kuu Bara maarufu kama Ligi Kuu ya NBC katika Uwanja wa Chamanzi Dar es Salaam ambapo Azam atakuwa mwenyeji wa mchezo huo.

WAJE TU….PABLO AWACHAMBUA WAPINZANI WAKE CAF…YANGA YAWAPA MBINU ZA USHINDI… NNJE YA SOKA: MANARA AINGILIA KATI ISHU YA WAPENZI KUKAGUANA SIMU…’ZINALETA FARKA’..ACHEENI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply