Habari za michezo

MANARA AWAITA ORLANDO PIRATES…'”NJOONI WANAUME…WANANCHI WEZENU TUPO….

admin April 6, 2022 11:18 am


Msemaji wa Yanga SC, Haji Manara ametia neno kwa Klabu ya Simba SC kutoka Tanzania kukutana na Orlando Pirates ya Afrika Kusini katika hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika.

Manara alitia neno kupitia uwanja wa maoni kwenye post ya Instagram ya Orlando Pirates ya ratiba ya klabu hiyo kukutana na Simba SC kwenye michuano hiyo.

“Wananchi wenzenu mtatukuta huku huku, njoooni Wanaume @orlandopirates Vivaaaaaaa” Aliandika Haji Manara.

Ratiba hii ya Wekundu wa Msimbaji kukutana na klabu hiyo ya Afrika Kusini ilipangika baada ya droo ya Robo Fainali ya Michuano hiyo iliyochezeshwa jana Aprili 5, 2022.

HII HAPA RATIBA YA ‘MPAPATUKO’ WA LIGI KUU YA NBC LEO JUMATANO…MECHI KUTAZAMA NI HII… PABLO NA CHAMA WAIKUNG’UTA YANGA TUZO ZA MWEZI MACHI…NABI ‘ATIMULIWA VUMBI JEUSI’…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply