Habari za michezo

ARTETA: TULIKUWA NA KILA KITU CHA KUSHINDA…TATIZO NI SPIDI TU…

admin April 10, 2022 6:00 pm


MABAO kutoka kwa Leandro Trossard dk 28 na Enock Mwepu dk 66 yaliweza kutosha kuipa pointi tatu Brighton mbele ya Arsenal.

Ni bao la Martin Odegaard dk 89 Uwanja wa Emirates lilitosha kuwafuta machozi washika bunduki hao wanaonolewa na Kocha Mkuu, Mikel Arteta.

Arteta amesema kuwa walikuwa wana kila kitu cha kuweza kushinda lakini haikuwa hivyo.

“Tulikuwa na umiliki mzuri wa mpira na ilikuwa nzuri kwetu tulipata nafasi nyingi lakini hatukuweza kuzitumia,hatukucheza katika spidi sahihi,”.

Arteta ametoka kupoteza kwa kufungwa mabao 3-0 dhidi ya Crystal Palace Jumatatu huku kichapo hicho kikiwapotezea matumaini ya kuwa ndani Top 4.

BAADA YA KIPIGO KUPOA…KOCHA USGN AWACHANA SIMBA…ADAI ONYANGO NI TATIZO….ATOA ONYO… SARE DHIDI YA POLISI KUMBE NI JANJA YA PABLO KUWAZUGA ORLANDO…MORRISON APEWA KIBANO KIPYA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply