Habari za michezo

BREAKING….RATIBA LIGI KUU NBC YAPANGWA UPYA…YANGA vs NAMUNGO YAPEWA TARHE MPYA…

admin April 14, 2022 9:51 am


Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imepanga na kutangaza tarehe za kufanyika kwa michezo mitatu ya Ligi Kuu ya NBC ambayo hapo awali haikupangiwa tarehe kutokana na ushiriki wa klabu za Yanga, Simba, Biashara United na Azam kwenye michuano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF).

Michezo ambazo hazikupangiwa tarehe hapo awali sasa zitachezwa kama ifuatavyo;

Aprili 23, 2022 Young Africans SC vs Namungo FC Saa 1:00 usiku Benjamin Mkapa (Dar es salaam).

Mei 5, 2022 Biashara United FC vs Dodoma Jiji FC Saa 10:00 jioni Nyamagana (Mwanza).

Mei 7, 2022 Azam FC vs KMC FC Saa 1:00 usiku Azam Complex (Dar es salaam).

Bodi ya Ligi itaendelea kupitia ratiba ya Ligi na kuzipangia tarehe mechi zote ambazo kwenye ratiba iliyotangazwa kabla Ligi haijaanza, hazikuwa na tarehe.

USAJILI SIMBA…THEDEO LWANGA ‘OUT’…KIUNGO MNIGERIA MKATA SHOMBO ‘IN’…DILI ZIMA LIKO HIVI AISEE… KUELEKEA MECHI YA ROBO FAINAL CAF….VAR KUFUNGWA RASMI LEO KWA MKAPA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply