Home Habari za michezo KUFUZU AFCON MWAKANI 2023…TAIFA STARS YAPEWA ALGERIA NA UGANDA…, JE TUNAWEZA KUFUZU…?

KUFUZU AFCON MWAKANI 2023…TAIFA STARS YAPEWA ALGERIA NA UGANDA…, JE TUNAWEZA KUFUZU…?


Tanzania imepangwa Kundi F katika kampeni ya kuwania kufuzu #AFCON2023 nchini Ivory Coast ikiwa pamoja na Niger, Uganda na Algeria.

Timu mbili zitakazoshika nafasi za juu zaidi ndizo zitakazofuzu fainali hizo.

Tazama Kundi alilopangiwa Taifa Stars;

Je unamaoni gani kuhusu nini kifanyike ile timu yetu ya Taifa ifanye vizuri na kufuzu kwa fainali hizo, haswa kwa kuzingatia timu tulizopangwa nazo, kumbuka ni timu mbili pekee zinapaswa kufuzu.nondosha maoni yako hapo chini.
SOMA NA HII  MAFURIKO YA RWANDA YANGA WAFANYA HAYA