Habari za michezo

KUFUZU AFCON MWAKANI 2023…TAIFA STARS YAPEWA ALGERIA NA UGANDA…, JE TUNAWEZA KUFUZU…?

admin April 20, 2022 9:33 am


Tanzania imepangwa Kundi F katika kampeni ya kuwania kufuzu #AFCON2023 nchini Ivory Coast ikiwa pamoja na Niger, Uganda na Algeria.

Timu mbili zitakazoshika nafasi za juu zaidi ndizo zitakazofuzu fainali hizo.

Tazama Kundi alilopangiwa Taifa Stars;

Je unamaoni gani kuhusu nini kifanyike ile timu yetu ya Taifa ifanye vizuri na kufuzu kwa fainali hizo, haswa kwa kuzingatia timu tulizopangwa nazo, kumbuka ni timu mbili pekee zinapaswa kufuzu.nondosha maoni yako hapo chini.
MAN CITY WAFANYA KUFRU USAJILI WA HAALAND…HUO MSHAHARA WAKE TU UNAZINUNUA SIMBA NA YANGA… KIMENUKAAH…CAF WAANZA KUCHUNGUZA MALALAMIKO YA WASAUZI KUHUSU VAR KUZIMWA KWA MKAPA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply