CAF

#CAFCCUPDATES: KAPOMBE AZIBA PENGO LA MORRISON SIMBA…KIKOSI KAMILI HIKI HAPA…

admin April 24, 2022 3:34 pm


Wawakilishi wa Tanzania Kunako michuano ya Kimataifa, Simba SC muda mchache kutoka sasa watakua na kibarua kizito mbele ya Orlando Pirates ya Afrika ya kusini kuwania kufuzu kwa hatua ya Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Afrika.

Mchezo huo ambao utapigwa katika Uwanja wa Orlando, utawashuhudia Simba wakiingia na faida ya uongozi wa goli 1-0 walioupata Jijini Dar es Salaam wikiendi iliyopita.

Hiki hapa Kikosi cha Simba Kinachoanza mchezo wa leo;


KUTOKA SAUZI….ORLANDO WAINGIA MCHECHETO DHIDI YA SIMBA….MORRISON ASHUSHA PRESHA YA KOCHA… SIKU 100 TOKA AAJIRIWE SIMBA…HIVI NDIVYO AHMED ALLY ALIVYOJITOFAUTISHA NA MANARA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply