Habari za michezo

BAADA YA KUFURUSHWA JANA….KINYOONGEEE SIMBA WAANZA SAFARI YA KURUDI BONGO ..SAKHO AFURAHI…

admin April 25, 2022 1:04 pm


Kikosi cha Simba SC kimeanza Safari ya kurejea nchini kutokea Afrika ya kusini walikokwenda kwa ajili ya mchezo wa pili, Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Orlando Pirates.

Simba wameondolewa katika mashindano hayo kwa mikwaju ya penati 4-3 dhidi ya Orlando Pirates usiku wa Jana katika Uwanja wa Orlando.

Urejeo huu ni ishara ya kuwa wanajiandaa kwa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mtani wake wa Jadi Yanga utakaopigwa April 30.

KISA SIMBA KUTOLEWA CAF…AHMED ALLY ‘ALIA KWA UCHUNGU’…ADAI INAUMA…”HATUJAPIGA HATUA”… BAADA YA KUONA YANGA WANAMZENGEA ZENGEA SANA…KIYOVU WATAKA MIL400 KUMUUZA BIGIRIMANA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply