Home Habari za michezo A-Z JINSI SIMBA WALIVYOITAFUNA USGN KWA HASIRA JANA…ASEC WALIA KWA UCHUNGU BAADA...

A-Z JINSI SIMBA WALIVYOITAFUNA USGN KWA HASIRA JANA…ASEC WALIA KWA UCHUNGU BAADA YA MATOKEO..

 


Dakika 90 zilikamilika katika Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam na kuwashuhudia wawakilishi wa Tanzania Simba SC wakitinga hatua ya robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika.

Simba wanafuzu hatua hiyo baada ya kuibuka na ushindi mnono wa magoli 4-0 mbele ya US Gendarmerie.

Magoli ya Simba katika mchezo wa leo yamepachikwa kimiani na Kiungo Sadio Kanoute 63′, Chris Mugalu aliefunga magoli mawili 68,78′ na Hamisu aliejifunga.

Ni simba na RS Berkane ya nchini Morocco ndio waliofanikiwa kumaliza vinara katika kundi D.

Ambapo katika mechi nyingine illiyochezwa Morocco, Rs Berkane walipata ushindi wa goli moja bila, ushindi ambao umewafanya Asec Mimosas kulia kwa uchungu baada ya mechi hiyo kuisha .

SOMA NA HII  USAJILI WA KWANZA YANGA HUU HAPA...BOSI AMPANDIA NDEGE..PABLO AKUBALI MZIKI WAO...