Habari za michezo

WAKATI TIMU NYINGINE ZIKIPAMBANIA UBINGWA..KUMBE MBEYA CITY MAWAZO YAO YAKO HUKU AISEE…

admin May 3, 2022 4:06 pm


Uongozi wa Klabu ya Mbeya City umesema malengo ni kuona kikosi hicho kinamaliza ndani ya tano bora kwa msimu huu wa 2021/22

Maneno hayo yamesemwa na kocha mkuu wa kikosi hicho Mathias Lule kuwa malengo yao ni kuweza kumaliza ligi ndani katika tano bora hilo lipo wazi na wataweza kupambana ili kupata matokeo mazuri kwenye mechi zao..

“Kwenye mechi zetu ambazo zimepita hivi karibuni hatukuwa na matokeo mazuri lakini haina maana kwamba hatukuwa bora,tuna amini kwa mechi zilizobaki tutafanya vizuri”amesema.Mathias Lule

Mbeya City imekusanya pointi 28 ipo nafasi ya 5 huku kinara akiwa ni Yanga mwenye jumla ya pointi 55 ambazo amezikusanya.

KAZE : TULITUMIA NGUVU KUBWA SANA KWENYE MECHI DHIDI YA SIMBA… KISA DROO NA NAMUNGO…DEWJI ATAKA MASHINE ZA KAZI SIMBA…AWATAJA PHIRI NA ADEBAYOR…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply