Habari za michezo

BAADA YA KUPATA USHINDI JANA….MANARA ATUPA KOMBORA SIMBA…”KUNIROGA HAMNIWEZI..KUNIPIGA NDIO KABISAA”…

admin May 29, 2022 12:30 pm


Kutoka kwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara baada ya timu yake kuichapa Simba kwa bao 1-0 na kuivua ubingwa wa Kombe la Shirikisho la Azam.

Haji ameandika maneno haya ya kuwakera wapinzani wao; “Kuniroga hamniwezi,,kunipiga ndio kabisaaaaaa,,iliyobaki mkalambe sumu tu. Naitwa Haji Sunday Ramadhan Manara, Bugati.

Mpira nna Hijaza nao, nna DNA na football, sikukutana nao Mtaani, kisha mimi ni Ahllu Bait ( Kitukuu cha Rasuli).

Nimezaliwa ili niwe Msemaji wa Soka, na nna nyota ya Subailah, Kiufupi HAMNIWEZI. Niliadhiniwa na Masharifu nilipozaliwa.

Mkimaindi napost Royal Tour Goal.

Beauty Beauty ????????”

BAADA YA KUSIKIA SIMBA WANAMTAKA…’STRAIKA’ LA KAZI LAKATAA KUSAINI MKATABA MPYA… NABI KIBOKO…AANIKA ALIVYOIPASUA SIMBA JUZI…MO DEWJI AANZA KUIFUFUA SIMBA..ASHUSHA KIFAA CHA LIGI YA ITALIA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply