Home Habari za michezo RASMI…SADIO MANE ATANGAZA ‘KUSEPA’ LIVERPOOL….BAYERN MUNICH WATAJWA KUMWANIA…

RASMI…SADIO MANE ATANGAZA ‘KUSEPA’ LIVERPOOL….BAYERN MUNICH WATAJWA KUMWANIA…


Mshambuliaji wa Liverpool Sadio Mane ameamua kuondoka klabuni hapo majira haya ya kiangazi saqbabu kubwa ikitajwqa kuwa anataka kutafuta changamoto mpya.

Mane ameitumikia Liverpool kwa takribani miaka 6 na katika kipindi hicho ametwaa kila taji na majoogoo wa jiji.

Mabingwa wa Ujerumani Bayern Munich ndio wanatajwa sana kuwania saini ya mshambuliaji wa kimataifa wa Senegal.

Mane alijiuna n Liverpool akitokea Southampton ambau mbali na mengin

SOMA NA HII  JUMA MGUNDA KITI CHA MOTO SIMBA......UONGOZI WATIA NENO