Habari za michezo
RASMI…SADIO MANE ATANGAZA ‘KUSEPA’ LIVERPOOL….BAYERN MUNICH WATAJWA KUMWANIA…
Mshambuliaji wa Liverpool Sadio Mane ameamua kuondoka klabuni hapo majira haya ya kiangazi saqbabu kubwa ikitajwqa kuwa anataka kutafuta changamoto mpya.
Mane ameitumikia Liverpool kwa takribani miaka 6 na katika kipindi hicho ametwaa kila taji na majoogoo wa jiji.
Mabingwa wa Ujerumani Bayern Munich ndio wanatajwa sana kuwania saini ya mshambuliaji wa kimataifa wa Senegal.
Mane alijiuna n Liverpool akitokea Southampton ambau mbali na mengin

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.