Habari za michezo

BAADA YA SARAKASI NDEEEFUUU….SIMBA WAACHANA NA MORRISON ‘KISELA YANI’…BARBARA KABARIKI…

admin May 13, 2022 4:41 pm


Klabu ya Simba SC imeachana na mchezaji wake Bernard Morisson leo Mei 13 ambayo amedumu nayo kwa miaka miwili.

Mkataba wa Morisson na Simba SC unaisha mwishoni mwa msimu huu, na huenda mchezaji huyo akajiunga na Upande wa pili wa mahasimu hao Klabu ya Yanga.

Morisson alijiunga na Simba msimu wa 2021/2021 akitokea Klabu ya Young Africans.

Mechi ya mwisho kwa Morisson kucheza na Simba ilikuwa ni April 30 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa ambapo walicheza dhidi ya Yanga na mchezo huo uliisha kwa sare ya bila kufungana.

Soma kwa kirefu taarifa ya Simba SC hapa chini,


PAMOJA NA ‘KUZIBULIWA’ NA KMC JANA…MTIBWA SUGAR WAENDELEA KUSISITIZA HILI KWENYE LIGI KUU… BAADA YA ‘KUFYEKWA KININJA’ NA SIMBA…MORRISON KUTUA YANGA..CHIKO NAYE ‘SOON’ ATALIWA KICHWA YANGA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply