Home Habari za michezo BAADA YA SARAKASI NDEEEFUUU….SIMBA WAACHANA NA MORRISON ‘KISELA YANI’…BARBARA KABARIKI…

BAADA YA SARAKASI NDEEEFUUU….SIMBA WAACHANA NA MORRISON ‘KISELA YANI’…BARBARA KABARIKI…


Klabu ya Simba SC imeachana na mchezaji wake Bernard Morisson leo Mei 13 ambayo amedumu nayo kwa miaka miwili.

Mkataba wa Morisson na Simba SC unaisha mwishoni mwa msimu huu, na huenda mchezaji huyo akajiunga na Upande wa pili wa mahasimu hao Klabu ya Yanga.

Morisson alijiunga na Simba msimu wa 2021/2021 akitokea Klabu ya Young Africans.

Mechi ya mwisho kwa Morisson kucheza na Simba ilikuwa ni April 30 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa ambapo walicheza dhidi ya Yanga na mchezo huo uliisha kwa sare ya bila kufungana.

Soma kwa kirefu taarifa ya Simba SC hapa chini,


SOMA NA HII  KUELEKEA 'KARIAKOO DABI'....MAYELE AJIAPIZA KULIPIZA ALIVYOZALILISHWA NA HENOCK...'NITALIPAA'.....

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here