Home Habari za michezo HUYU HAPA STAA WA PSG ALIYEPINGA HADHARANI ‘KUSAPOTI’ MAMBO YA ‘USHOGA’…AKATAA KUCHEZA...

HUYU HAPA STAA WA PSG ALIYEPINGA HADHARANI ‘KUSAPOTI’ MAMBO YA ‘USHOGA’…AKATAA KUCHEZA MECHI…


Kiungo wa Kimataifa wa Senegal anayecheza PSG ya Ufaransa Idrissa Gana Gueye (32) imebainika kuwa alikosa game ya PSG dhidi ya Montpellier Jumamosi iliyopita sababu hakutaka kuvaa jezi zenye namba zenye rangi za upinde (rainbow flag).

Idrissa inaeleza kuwa hakutaka kucheza mechi hiyo sababu ya kutokuwa radhi kuvaa namba hizo ambazo zinaashiria kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja ndipo akaondolewa kikosini dakika za mwisho.

Kwenye mzunguuko huo ambao timu zote za Ligue 1 walivaa jezi zenye namba zenye rangi ya upinde PSG walishinda 4-0, kwa upande wa Kocha wa PSG Pochettino alisema Idrissa “Idrissa alilazimika kuondoka katika list kwa sabau zake binafsi lakini si majeruhi”

SOMA NA HII  MGUNDA: UCHOVU ULIIMALIZA SIMBA SC...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here