Habari za michezo

RONALDO AKIWA NDANI…’MAN UTD WAZIDI KUGAWA URODA’ EPL….BRIGHTON NAO ‘WAJICHOVYEA ASALI’..

admin May 8, 2022 1:10 am


Timu ya Manchester United imeendelea kukubali vichapo vya aibu baada ya kubamizwa na Brighton and Hove Albion kipigo cha bao 4-0 katika mechi ya Ligi Kuu nchini Uingereza.

Mabao ya Brighton yamefungwa na Cuicedo dakika ya 15, Cucurella dakika ya 49, GroB dakika ya 57 na Trossard dakika ya 60 huku Ronaldo akishindwa kutamba kabisa.

Man United ambao wamekuwa wakisuasua na kupokea vichapo vya kutosha licha ya ukubwa wao duniani kwa sasa wapo nafasi ya sita ya Ligi Kuu nchini Uingereza.

Vipigo vingine ambavyo Man United wamevipokea msimu huu ni.

Brighton 4-0 Man United Man United 0-5 Liverpool Liverpool 4-0 Man United Watford 4-1 Man United Man City 4-1 Man United Leicester 4-2 Man United Arsenal 3-1 Man United.

BINGWA MSIMU HUU KUPATIKANA MEI 24 AU JUNI 16…YANGA AKITELEZA TENA KIDOGO TU..SIMBA HUYOOO… WAKATI MAN UNITED WAKIMUONA POGBA KAMA ‘MUIGIZAJI ZAIDI’ ….MAN CITY WAMNYATIA KIMYA KIMYA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply