Home Habari za michezo SURE BOY, HIMID MAO WARUDI TAIFA STARS….BOCCO, KASEJA WATUPIWA VIRAGO TIMU YA...

SURE BOY, HIMID MAO WARUDI TAIFA STARS….BOCCO, KASEJA WATUPIWA VIRAGO TIMU YA TAIFA…


Kocha Mkuu wa Kikosi cha Taifa Stars Kim Poulsen, ametangaza Kikosi cha wachezaji 28 kitakachoingia kambini kujiandaa kwa mechi za kufuzu AFCON 2023.

Katika Kikosi hicho kilichotangazwa leo Kocha Kim, amewajumuisha Kiungo wa Yanga Salum Abubakar “Sure boy” na Kiungo anayeichezea Ghazl Mahalla ya nchini Misri.

Himid Mao na Sure boy kwa nyakati tofauti walishapata kuitumikia Timu ya Taifa, “Taifa Stars” lakini kwa kipindi kirefu wamekuwa wakiachwa kuitwa katika Timu ya Taifa.

Tazama List nzima ya Wachezaji walioitwa;


SOMA NA HII  NABI AWACHANA WACHEZAJI...HAKUNA KUKWEPESHA JICHO..."SIPENDI MAKOSA YAJIRUDIE