Home CAF NABI AWACHANA WACHEZAJI…HAKUNA KUKWEPESHA JICHO…”SIPENDI MAKOSA YAJIRUDIE

NABI AWACHANA WACHEZAJI…HAKUNA KUKWEPESHA JICHO…”SIPENDI MAKOSA YAJIRUDIE

NABI AWACHANA WACHEZAJI...HAKUNA KUKWEPESHA JICHO...

Hakuna kukwepesha jicho. Ndivyo unavyoweza kusema wakati Yanga wakijiandaa kuwavaa US Monastir siku ya Jumapili mchezo wa hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika.

Yanga wamepania kuhakikisha kuwa wanaibuka na ushindi katika mchezo huo, na katika kufanikisha hilo Kocha Mkuu wa Kikosi hicho anasema;

“Hii ni mechi ya fainali kwetu, tunakwenda kucheza mechi ngumu nyingine ya kundi letu, jambo zuri ni kwamba wachezaji wanajua kuwa wana deni la kujisahihisha kufuatia makosa ya mchezo wa kwanza wakijua sasa watacheza nyumbani mbele ya mashabiki wao ambao wamekuwa na heshima kubwa ya kuwafuata kokote wanakokwenda.”

amesema Nasreddine Nabi.

SOMA NA HII  HIVI WAPO KWELI SIMBA YAANZA KUNOGA.... ROBERTINHO KICHEKO... NI ZAMU YA AUBUN... KIPA MBRAZIL... TIMU KUSEPA JUMANNE