Home Habari za michezo SELELEKA NA BIRIANI LA DStv KWA KUWACHEKI TAIFA STARS WAKIICHINJA NIGER KESHO...

SELELEKA NA BIRIANI LA DStv KWA KUWACHEKI TAIFA STARS WAKIICHINJA NIGER KESHO KWA MTONYO WA BUKU 9,900/=

Hapa ushindi ni Lazima…!

Patakua hapatoshi Jumamosi hii, wakati ambapo timu yetu ya Taifa itavaana na timu ya Niger katika mashindano ya kufuzu AFCON.

Tazama Live mtanange huu Jumamosi saa 1 usiku kupitia kifurushi cha Poa 9,900/= tu.

Piga *150*53# kulipia kwa urahisi ili usikose burudani hii…!

#BirianiIendelee
SOMA NA HII  MAVITUZI YA OKRAH YAMPAGAWISHA KOCHA MSERBIA SIMBA...ABAKI AKICHEKELEA KOONI JINSI ATAKAVYOMTUMIA KUWALIZA...