Habari za michezo

RASMI…ZIDANE KUPISHANA NA POCHETTINO PSG….AITWA CHAP QATAR KUMALIZANA NA MATAJIRI…

admin June 10, 2022 5:08 pm


KWA mujibu wa taarifa Zinedine Zidane, anukia Paris Saint- Germain, kama mbadala wa Mauricio Pochettino, aliyekalia kuti kavu kwa mujibu wa ripoti.

Taarifa zimetolewa Pochettino yupo mbioni kufukuzwa PSG, baada ya majadiliano ya mabosi kuridhika na mpango huo.

Kocha huyo wa zamani wa Real Madrid, amesafiri hadi Qatar, kukutana na wamiliki wa PSG kabla ya kusaini mkataba wa kuinoa miamba hiyo msimu ujao.

Zidane hakuwa mzigoni tangu alipoondoka Real Madrid, mwisho mwa msimu wa 2021-2022, na kwa mujibu wa taarifa yupo tayari kuanza maisha mapya PSG.

Zidane alionekana katika fainali ya michuano ya Ligi Mabingwa Ulaya, Real Madrid ilipomenyana na Liverpool uwanja wa Stade de France mwezi uliyopita.

SIMBA WAMEPANIA AISEEE…WAPANGA KUMBEBA JUMLA JUMLA KIUNGO WA AL AHLY YA MISRI… HII SASA SIFA…AUCHO ASHUSHA JEMBE LA MAANA YANGA…WANACHEZA WOTE UGANDA..ONYANGO BYEBYE  SIMBA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply