Habari za michezo

URAIS YANGA….INJINIA HERSI ADHAMIRIA AISEE…MWAKALEBELA AMGEUKA DK MSOLA DAKIKA ZA JIONI…AJITOA…

admin June 10, 2022 2:40 am


WAKATI jana Juni 9,2021 ikiwa ni siku ya mwisho ya kurejesha fomu na leo mchujo kuweza kuanza jana Injinia Hersi Said amerejesha fomu yake ya kugombea Urais wa Yanga.

Injinia amewakilishwa na wazee wa Yanga pamoja na Fredrick Mwakalebela ambaye rasmi amesema kuwa yeye hatogombea na kuwaaga wana Yanga kwenye nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti.

Mkurugenzi wa uwekezaji wa GSM, Injinia Hersi juzi alichukuliwa fomu ya kugombea Urais wa klabu hiyo katika uchaguzi utakaofanyika mwezi Julai na wazee wa klabu hiyo.

Jana wazee wa Klabu ya Yanga wamerudisha fomu hiyo ikiwa imejazwa tayari kwa kuanza mbio za Urais wa Klabu hiyo.

Mwakalebela amesema kuwa Yanga wanatambua namna Injinia alivyokuwa akijitoa kwa ajili ya timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu Bara.

CHAMA ATOA MSIMAMO SIMBA…KUTUA DAR LEO…AZURURA NA MKATABA…YANGA WAONGEZEWA NOTI LIGI KUU… PAMOJA NA YOTE YALIYOTOKEA….SIMBA WAPANGUA HOJA YA CHAMA KUVUNJA MKARABA…KUTUA DAR LEO…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply