Habari za michezo

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU YANGA….WANNE WAKATWA MAPEMAAAA….MABOSI WAPYA HUENDA WAKAWA KATI YA HAWA 22…

admin June 11, 2022 5:29 pm


Jumla ya wagombea 22 wamepitishwa kuendelea na mchakato wa uchaguzi katika nafasi za wanaosaka nafasi za ujumbe huku wengine 4 wakikatwa.

Taarifa ambayo imetolewa na kamati ya uchaguzi ya Yanga imeonyesha wagombea wa nafasi ya ujumbe waliopitishwa ni Said Kambi,Salum Mkemi,Gerrard Kihinga,Saad Khimji,Semi Yusuf,Seif Gulamali,Munir Seleman.

Wengine ambao wamepitishwa ni Issa Mangungu,Wilbard Kilenzi,Salim Rupia,Sylvester Haule,Sindilo Lyimo,Leevan  Muro,Omary Kimosa.

Pia wamo Edgar Chibura, Philip Haule, Alexander Ngai, Dominic Albinius, Benjamin Mwakasonda, Rodgers Gumbo, Yanga Makaga,Samwel Lukumay na Hussein Nyika.

Wagombea ambao hawakupitishwa kugombea ujumbe kwa dosari mbalimbali ni ni Mustapha Himba, Kara Remtullah, Thobias Lingalangala na Sindilo Lyimo.

Kwa mujibu wa hutaji la katiba ya Yanga wagombea hao 22 wanakwenda kuwania nafasi tano za ujumbe kwa upande wa uwakilishi.

USAJILI WA AZIZ KI YANGA WAISHTUA SIMBA….WAHAHA KUTAKA KUPINDUA MEZA KIBABE…WAAMBULIA ‘HEWA’…. WAKATI LIGI KUU TZ IKIELEKEA UKINGONI…HAWA HAPA MASTAA KUMI WAKUBWA NCHINI WALIOKUMBUKA SHUKA ASUBUHI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply