Habar za Usajili Simba

BREAKING NEWS….SIMBA WAMTAMBULISHA RASMI MOSES PHIRI …MKATABA WAKE NI STAILI ILE ILE YA ‘MIWILI’….

admin June 15, 2022 7:45 pm


Simba SC imefanikiwa kumsajili mshambuliaji Moses Phiri raia wa Zambia aliyekuwa anachezea Zanaco FC ya nchini humo kwa mkataba wa miaka miwili.

Phiri ambaye pia anaweza kucheza nafasi za kiungo mshambuliaji na winga zote mbili atavaa jezi nyekundu na nyeupe kuanzia msimu ujao wa mashindano.

Phiri ni usajili wetu wa kwanza kuelekea maboresho  makubwa ya kikosi chetu ambayo tumepanga kuyafanya kuelekea msimu mpya unaotarajiwa kuanza mapema hivi karibuni.

Msimu uliopita akiwa na Zanaco Phiri amefunga mabao 14 kwenye ligi kuu ya Zambia akiwa ni mfungaji bora namba mbili nyuma ya kinara mwenye mabao 16.

PAMOJA NA KUPATA KAZI UARABUNI…ADEL ZRANE AENDELE KUANIKA MAPYA KUHUSU SIMBA…ADAI ANAJUA YOTE … RASMI….HISTORIA MPYA YAANDIKWA TZ….YANGA WABEBA UBINGWA KWA STAILI MPYA…CHICO AFUFUKA DK ZA JIONI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply